SOAP MACHINES IN TANZANIA, RWANDA, ETHIOPIA AND UGANDA

18
811

EMK Engendering Services Ltd.  exports soap making machines in Ethiopia, Uganda, Rwanda and Tanzania. The soap making machines are heavy commercial with capacities ranging from 50 to 150 Dozens of 800g bars. EMK Engeneering Services Ltd also make and export low cost Soap Molds besides Candle Making machines. Contact us through email. eabc2010@gmail.com, WhatsApp +254723424240.

Warning: The SSP133Ti is not advertised on OLX platforms. Beware of counterfeits and old repaired machinery sold out as new
TRADE ENQUIRIES
We invite requests to do business with us: Wholesale, Distribution and Franchise. We offer attractive discounts and commissions on our machines. Call or email us today. +254723424240
image

18 COMMENTS

 1. Mimi ni Zainul kutoka homa bay,tafadhali sana naomba kujuwa bie ya hizo mishine kwani kwa sasa napenda sana kuanza hiyo biashara ya kutengeza sabuni za miti.ahsanata sana naomba jibu kama ntakuwa sijawasumbuwa.shukran

 2. Ahsanta sana ndugu,kisha nauliza hiyo mashine inaweza kutengeza sabuni aina zote ama ni sabuni ya miti pekee?nauliza hivo kwani napenda kuanza kutengeza sabuni aina zote,sabuni ya unga na za kuoga na sabuni za maji na shampoo.pia napenda kujuwa mahala chemical aina zote zinapatikana wapi? Na kwa bei gani?samahani kwa maswali mengi ila yote nataka kujuwa.shukran

  • Naam. Mashine hii ni ya kutengeneza sabuni ya miti pekee, ila kuna haina ya kifaa kingine ambacho huunganishwa na mashine hii ili kutengeneza sabuni ya kuoga. Haitengenezi sabuni ya maji wala unga.

 3. Ahsanta kaka,na hicho kifaa cha kuunganishia kwa mashine kina kuja na hiyo mashine? Tafadhali na hizo chemical zinapatikana wapi nairobi na kwa bei gani? Shukran jibu muhimu.

 4. Kaka Mbona hukunipa jibu,alafu naomba kujuwa bei ya vitabu kwa maelezo ya kutengeza sabuni ya miti unga ya kuoga na ya maji na shampoo.tafadhali sana naomba kujuwa ila pia samahani kwa kukusubuwa.shukran

  • Samahani Kaka. Hautusumbui kamwe. Ile Mashine ya kufinya sabuni ya kuoga (inayounganishwa na ile kubwa), bei yake kidogo iko juu, na hivyo basi, haina wateja wengi ndio maana hatuiweki.

   Vitabu vilivyo na maelezo kuhusu utengenezaji wa sabuni za haina mbali mbali, ikiwemo Shampoo, ni via bei nafuu. Kwa Shilingi 3, 000, unaweza kupata daftali ya maelezo ya kila sabuni, na Kwa ujumla, kitabu kilicho na maelezo ya kutengeneza aina zote za sabuni (ishirini zote) kinapatikana kwa bei ya ujumla ya Shilingi 15,000.
   Tueleze unavyotaka na nita kuhudumia kikamilifu.
   Shukran.

 5. Samahani umesema bie ya vitabu ni 15000 kwa JUMLA sasa ni TSH ama KSH,na hiyo mashine ya kufinya sabuni ya miti ni shingapi?shukran na samahani kwa usumbufu wangu.jibu muhimu.

 6. Mimi naitwa Erick nipo Dodoma,Tanzania, Je nikitaka “stamping machine” kwa ajili ya sabuni za kuogea nitazipataje kwa hapa Tanzania? na je machine za kutengenezea sabuni za aina mbalimbali mnauzaje? Je naweza kupata orodha kwenye email yangu na bei zake na uweze wake wa kutengeneza sabuni kwa saa ni kiasi gani? na namna nitakavyozipata nikiagiza.

  • Hello Bw. Eric. Shukran kwa kutufikia. Utaipata kwa njia ya parcel delivery service utakapoiagiza na bei yake ni USD 1600. Mashine zingenezo za sabuni ya mche huwa na bei Kati ya USD 4,500 na USD 6500. Ili kuagiza tafadhali wasiliana nasi kwa namba hii +254 723424240

Leave a Reply